CRYPTOCURRENCY TRADING BINANCE EPISODE 1 (Swahili version)

Video hii inaelezea namna ya kutengeneza pesa kwa njia ya kuuza na kununua sarafu za kidigitali zijulikanazo kama #CRYPTOCURRENCY, mfano wa safaru hizi za kidigitali ni #BITCOIN #CONNECTCOIN #XCON #ETHEREUM #RIPPLE na zingine nyingi.
Kupitia video hii na zingine zijazo utaweza kujifunza njia sahihi za kuweza kutengeneza faida kutokana na biashara hii.

✅Follow us on instagram @cmx_trading

✅join our telegram group https://t.me/Cmxtrading

⛔️THIS VIDEO IS FOR TRAINING PURPOSES ONLY.. take all risk at your own

💰Register on binance now link (REGISTER ON BINANCE) https://www.binance.com/?ref=13250585

Leave a Reply